News
Loading...

NEW VIDEO: JUX FT JOH MAKIN - LOOKING FOR YOU


Staa wa mziki wa Rnb hapa Tanzania Jux ameingia kwenye headlines baada wimbo wake mpya aliomshirikisha Joh Makini kupigwa kwenye vituo vikubwa vya TV duniani.
Wimbo huo mpya wa Jux niLooking for You” Feat. Joh Makini kwa mara ya kwanza imeanzia kuruka kwenye Kituo cha MTV Base.
Video hiyo mpya ya Jux imefanywa na director Justin Compus kutoka South Africa aliyetengeneza video ya 'Nusu Nusu', 'Game', na 'Nobody But Me' chini ya ya Kampuni ya Gorilla Films. 

Bonyeza hapa chini kuangalia video hii:
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment